Home Audio Picha: Rais Magufuli na Kikwete waingia mtaani kufanya usafi kuenzi siku ya...

Picha: Rais Magufuli na Kikwete waingia mtaani kufanya usafi kuenzi siku ya Uhuru Day.

                      

Raisi wa Awamu ya 4 Mh Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete nao wapo kwenye maeneo yao hivi sasa wanafanya Usafi. #UhuruWaUsafi #UsafiDay.
Rais John Magufuli ameongoza Watanzania kutumia Siku ya Uhuru kufanya
usafi, yuko eneo la ufukwe karibia na Ikulu akifanya usafi.

HAPA KAZI TU ya Rais wa Jamhuri ya Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli ikiendelea kufanyiwa kazi kama Rais huyo akionekana katika picha akiwa akifanya usafi leo jijini Dar es Salaam.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiokota taka taka katika eneo la ufukwe wa ferry jijini Dar es Salaam.


USISAHAU KULIKE PAGE YETU YA FACEBOOK HAPA CHINI