Home Audio HILI HAPA BARAZA JIPYA LA MAWAZIRI ALILOLITANGAZA RAIS MAGUFULI HAPO JANA IKULU...

HILI HAPA BARAZA JIPYA LA MAWAZIRI ALILOLITANGAZA RAIS MAGUFULI HAPO JANA IKULU JIJINI DAR.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akitangaza baraza lake la mawaziri Ikulu jijini Dar es salaam leo Desemba 10, 2015. Kulia kwake ni Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan na kushoto ni Waziri Mkuu, Mhe. Majaliwa Kassim Majaliwa.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akitangaza baraza lake la mawaziri Ikulu jijini Dar es salaam leo Desemba 10, 2015. Kulia kwake ni Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan na kushoto ni Waziri Mkuu, Mhe. Majaliwa Kassim Majaliwa. Kushoto kabisa ni Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue.

USISAHAU KULIKE PAGE YETU YA FACEBOOK HAPA CHINI