Home Audio HII NDIYO PICHA YA RAIS MHESHIMIWA DKT JOHN MAGUFULI ITAYOTUMIKA KUANZIA LEO...

HII NDIYO PICHA YA RAIS MHESHIMIWA DKT JOHN MAGUFULI ITAYOTUMIKA KUANZIA LEO KATIKA OFISI ZA SERIKALI NA BINAFSI

Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) na Msemaji wa Serikali Bw. Assah Mwambene akiwaonesha waandishi wa Habari picha rasmi ya Rais wa Awamu ya Tano ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli ambayo itakuwa ikitumika katika ofisi za Serikali na Binafsi ambayo inapatikana Idara ya Habari (MAELEZO) kwa gharama ya Shilingi 15,000/=

USISAHAU KULIKE PAGE YETU YA FACEBOOK HAPA CHINI