Home Audio SIMBA YAICHAPA MAJIMAJI FC YA SONGEA 6-1

SIMBA YAICHAPA MAJIMAJI FC YA SONGEA 6-1


Mshambuliaji wa Simba, Peter, Mwalyanzi akiwatoba wachezaji wa Majimaji ya Songea katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania bara uliofanyika leo kwenye Uwanja wa Taifa Dar es Salaam ambapo Simba iliibuka na ushindi wa bao 6-1. (Picha na Francis Dande)


Wachezaji wa Simba, Hamis Kiiza na Irahim Hajibu wakishangilia kwa pamoja moja ya bao lililofungwa na Hajibu.

Ibrahim Hajibu wa Simba akiifungia timu yake bao la kichwa.

Wachezji wa Majimaji ya Songea baada ya kufungwa.

Hamis Kiiza akimiliki mpira.

Wachezaji wa Majimaji wakilaumiana baada ya kufungwa.

Golikipa wa Majimaji, David Burhan akichuana na Peter Mwalyanzi.

Mwinyi Kazimoto akichuana na beki wa Majimaji.

Mashabiki wa Simba.

Wachezaji wa Simba wakishangilia.

Kocha wa Simba, Dyllan Kerr akishangilia na wachezaji wake.

Wachezaji wa Simba wakishangilia na kocha wa timu hiyo, Dyllan Kerr.

Furaha ya ushindi……….

LIKE PAGE YETU YA FACEBOOK HAPA CHINI